Monday

happy birthday wadhha


wadhha akiwa kwenye matayarisho ya birthday



wadhha akiashiria kuwa ametimiza miaka 4

 
akipuliza mishumaa ya kuashiria katimia miaka 4



mama na mwana wapo pamoja kwenue kukata keki




wahida nae alikuwepo kumpa tafu wadhha kushereheka siku yake ya kuzaliwa


mama ummi akimlisha keki wadhha

babawawa pia hajakosa kumpa tafu binti yake


babawawa pamoja na pesa zake mungu amuekee itikia  ( amin)

matayarisho ya kuweka mishumaa jikoni


sahimu pia ajakosa kwenye sherehe


mamawawa kwenye mapozi


ummi na wahida ,sahim alopakatwa na wadhha



mzee mzima ndani yake nipo





watoto na ummi wakiwa na mabofu


hapa nilikuwa nakata ili nionje


No comments: