Monday

ujumbe wa watu 7 tuliouzuria harusi ya dr


tayari kwa safari ya harusini



hamilton anaweka tomtom sawa ili itupe njia safi




tumechukua masaa 2 tu mpaka mitaa ya harusi hapo mzee wa kazi hamilton



 tukakutana na mjumbe mwengine sleyum






 hapa ni baada ya kidogo atakabiziwa majukumu







 khalifa akipiga picha ya kumbukumbu




picha ya bwana harusi



umekubali kumuoa .............................



utamu wa halua lazima ujue kukata




khalifa ,bwana harusi ,alawi ,ba omar  na sleyum




nikitoa mkono wa hongera kwa bwana harusi




wajumbe wa newcastle walowakilisha harusini

No comments: