(1) unamwita mtu usiyemjua aunt au anco
(2) Asilimia 90 ya cd pamoja na cassete za muziki ulizonazo nyumbani ni feki sio original
(3) Stoo yako imejaa vitu (makorokoro)kwa kuwa hutupikwa kuamini kuwa ipo siku utayahitaji
kwa mfano carpet ukilitoa hulitupi n.k
(4) Una machupa ya maji matupu ya shampoo ,perfume pamoja na vipodozi vingine umeweka
tuu wala hunashughuli navyo.
(5) watoto wako wote wana majina ya utani mfano babu ali ,chidi melodi , dida ,mamu n.k
(6) hakuna mtu katika familia yako anaetoa taarifa kwako anapo kuja kukutembelea kwa
mfano kaka ,shangazi n.k
(7) mifuko yako imejaa vitu kama vile vijiti vya kusafishia meno ,tissue n.k ulivyochukua sehemu kama vile mgahawani.
(8) mama yako anamigogorona ndugu na hawazungumzi kwa muda wa siku 10 au zaidi.
(9) hupigi simu isipokuwa katika muda ambao gharama za kupiga ni nafuu (mfano usiku sana)
na mara nyingi huwa una beep tu.
(10) ulipokuwa mdogo nguo unazonunuliwa pamoja na viatu ni vikubwa mara mbili ili kuvivaa muda mrefu zaidi.
(11)wakati ukisafiri na ndege unabeba mzigo wa uzito mkubwa kuliko inavyoruhusiwa.
(12) unampomsaidia mtu na akafanikiwa basi utakuwa unasema kama sio mimi asingekuwa vile yule.
No comments:
Post a Comment