karibuni kwenye blog hii mnakaribishwa kutoa maoni
Monday
habari ilotokea newcastle
hahahhahahah habari za uhakika ilotufikia kutoka mafichoni kuwa jamaa mmoja alokuwa akiaminiwa kwa kila kitu na watu juzi alivunja uaminifu wake baada ya kumvunjia heshima mke wa rafiki yake alokuwa akimuamini kwa kila kitu jee huu ni ubinaadamu
No comments:
Post a Comment