
wahida na wadhha wakiwa na mama yao ummi kwenye birthday ya wahida kutimiza miaka 5

nilikuwepo lakini najaribu kukificha ile plasta lakini mpaka uwe mmbea utaiyona hahahahahahha

simwengine ila wahid aabeid mwana wa kindaki ndaki

bila ya kumsahau mwana wa 2 wa abeid wadhha

wadhha akiwa na sahim na wahida
No comments:
Post a Comment